Watahangaika sana na uislam na waislam hawatashind period
Huwezi kuacha kusali eti kisa man made rules..
Mkuu tatizo sio kusali tatizo ni kuondoka during work hours bila ku-clock out...; kwahiyo kama wewe unaona tabu nenda kaombe kazi pengine au msikitini au kanisani ambapo watakuruhusu kuchukua breaks kila unapota.., kila sehemu kuna sheria zake ambazo inapaswa uzifate hutaki ondoka
Ndiyo hizo sheria zenu lazima ziwe flexible na time zetu za kusali period..
Hayo ya kuweka man made rules mbele na kwa wakristo ni possible si kwa muslim
Hawatawezi..mimi nafanya kazi ulaya na they give my time to pray as usual..
Nimewaambia nakuja jumapili siku ambyo wengi hawataki they are happy..
Hao jamaa ni udini unawasumbua lakini they will not win at all..wana popularize islam zaidi
China sijui India sku izi imekuwa ulaya?Ndiyo hizo sheria zenu lazima ziwe flexible na time zetu za kusali period..
Hayo ya kuweka man made rules mbele na kwa wakristo ni possible si kwa muslim
Hawatawezi..mimi nafanya kazi ulaya na they give my time to pray as usual..
Nimewaambia nakuja jumapili siku ambyo wengi hawataki they are happy..
Hao jamaa ni udini unawasumbua lakini they will not win at all..wana popularize islam zaidi
Mkuu sasa shida ipo wapi watafute sehemu ambapo wewe ulipata ili waongee nao waone kama itakubalika tatizo sio kusali tatizo wamesema hapo juu hakuna breaks zaidi ya 10minutes bila clocking out period sasa waache kazi na kutafuta pengine au waombe kufanya kazi usiku na masaa ambayo hawawezi kusali viwanda vya wenzetu ni 24 hours na Jumapili na Jumamosi kwao ni resting day ukifanya kazi that is overtime (kulingana na mlivyopatana kwenye contract..)
Kwahiyo mkuu when in Rome live like Romans..., hutaki anzisha kiwanda chako
Na sio business bottom line tu, hata ingekuwa ni wafanyakazi wa community clinic inayotibu kwa charity, ukisha saini mkataba wa kazi unaokutaka uweko kazini masaa x, break ya dakika Y, u clock out at time T, that's it, huwezi kukumbuka dini katikati ya mkataba wa kazi halafu suddenly ukasema unataka ulipwe kwa kusali. Mwajiri atakwambia hukuja kusali hapa, umekuja kufanya kazi.It is all about business and the bottom line.
Na sio business bottom line tu, hata ingekuwa ni wafanyakazi wa community clinic inayotibu kwa charity, ukisha saini mkataba wa kazi unaokutaka uweko kazini masaa x, break ya dakika Y, u clock out at time T, that's it, huwezi kukumbuka dini katikati ya mkataba wa kazi halafu suddenly ukasema unataka ulipwe kwa kusali. Mwajiri atakwambia hukuja kusali hapa, umekuja kufanya kazi.
You need to pray five times a day take a day off, for heaven's sake! Ikiwa utamaduni wa mazingira hayo ya kazi hayakufai rudi kwenu, Al Shabab wanaruhusu kusali kazini 400 times a day if you want.
Mkuu dunia haiwezi kurahisi hivyo wewe unaongea kwakuwa huyu jamaa ni muislam na una chuki zako binafsi..
Ukijenga kiwanda kwa dunia ya sasa tegemea kupata wafanyakazi wa imani mbalimbali na uangalie namna bora ya kutreat imani za watu..it doesn't make your company weak rather profitable (kwa accomodate skills mbalimbai)
Sasa wewe unavyota outright rule napata taabu sana ku-argue na watu wenye chuki kama wewe..
Sisi tunaamini lazima usali whetever it takes "so we cant be like romans no" we want to be muslims period
Eti kama hutaki anzisha kiwanda chako wewe ndio chizzi kweli ..
Punguza chuki mkuu kila mtu ana haki ya kuheshimiwa anachokiamini period..na lazima afanye kazi pia..
Punguza chuki mkuu utakufa bure
Unaongea utafikiri hizo nchi hazina waislam wazalendo? (born in UK or US)???
Kuna wazalendo kibao je warudi kwao wapi? lazima viwanda viangalie namna bora ya kuishi na watu wenye imani tofauti
Mkuu jaribu kufikiri out of the Box mimi sina chuki wala siangalii mtu sababu ya imani yake au character yake.., kama ni kufanya kazi na ninataka mtu wa kuendesha gari masaa nane within a given time sitajali huyo mtu anafanya nini kama gari litaendeshwa na hata kama akiwa Dalai Lama au Papa mwenyewe itabidi ajibu kama gari halitaendeshwa...
Mkuu ndio maana kazi ni nyingi na mtu unachagua kulingana na imani yako huwezi kwenda kuomba kazi bar alafu ukawaambia sababu mimi imani yangu haitaki pombe basi muanze kuuza soda peke yake ili kuni-accomodate na mimi.., it does not work like that bro.., ndio maana nikasema when in Rome..., kampuni asitafuti wafanyakazi ili waende pale kuhubiri dini kwahiyo any personal thing should be done in personal time and not companies time..., kuna kazi za kutangaza dini hizi nadhani unaweza ukalipwa kwa kusali 24/7
Tatizo hapa BAK ni kuwa kuna watu wanapenda kupinga kwa kupinga tu. Ikiwa mtaangalia kwa nini wamesimamishwa kazi, si kwa sababu ya dini bali kutokubaliana na masharti ya kazi. Kwa nini wengine wamekubalina na masharti? Hawa walokataa ni waislamu zaidi? Dini ya Kiislamu iko flexible, iweje mtu aruhusiwe kusali akiwa vitani ndani ya mbio, huyu anayeendesha gari asiweze kusali wakati anaendesha gari. Hakuna ulazima wa kuwa uende msikitini, popote unaweza kusali ikiwa umo katika amali ya halali. Kwani sala ni nini? Ninavyoelewa kwa muumini ni mawasiliano yake na muumba wake bila kujali pahaliNakubaliana na yote uliyoyaandika Mkuu, lakini kuna wengine watang'ang'ania kwamba ni vita dhidi ya Waislamu, kitu ambacho hakina ukweli wowote. Muajiri anataka ufanye kazi masaa manane kwa siku na siyo masaa saba na nusu au saba na robo, ukiingiza sheria zako ambazo mwajiri wako hakubaliani nazo basi itakula kwako. Nidhamu ya kazi ni muhimu katika kulinda ajira yako.