Hersi usiende kwenye Kamati ya Maadili hawatakugusa, Nchi haitakalika

Nyie nyie mnaoingia uvunguni ukisikia panya road mtaliamsha jwa nani...endeleeni kuyajaza ujinga majamaa yenu mtamkumbuka msola
 
Engineeer wala usiogope hata kidogo, hawana la kukufanya ndugu yangu we endelea na shughuli zako hata siku wakikuita kaa nyumbani kwako angalia movies

Hawana la kukufanya maana nchi itawaka moto nakuapia labda itabidi jeshi liingilie kati, yaani mmewapa mtego nao wakajaa

HERSI, ARAFAT, SIMON PATRICK, MANARA , hivi vichwa vinne hatari sana vitaifikisha mbali sana yanga kimaendeleo nawakubali sana vision yenu na jinsi mnavyoendesha mambo ki uweledi

wametaka vita na Yanga, wapeni vita , kwisha kazi yao bora team ishushwe daraja ila siyo kumuoneaonea Bugatti
Hakika hatutakubali, tutakiwasha balaa sisi yanga ndo wenye nchi.
 
Engineeer wala usiogope hata kidogo, hawana la kukufanya ndugu yangu we endelea na shughuli zako hata siku wakikuita kaa nyumbani kwako angalia movies

Hawana la kukufanya maana nchi itawaka moto nakuapia labda itabidi jeshi liingilie kati, yaani mmewapa mtego nao wakajaa

HERSI, ARAFAT, SIMON PATRICK, MANARA , hivi vichwa vinne hatari sana vitaifikisha mbali sana yanga kimaendeleo nawakubali sana vision yenu na jinsi mnavyoendesha mambo ki uweledi

wametaka vita na Yanga, wapeni vita , kwisha kazi yao bora team ishushwe daraja ila siyo kumuoneaonea Bugatti
We manara huna akili.
Na kwa kuwa unaowalisha upumbavu ni wajinga kama wewe ,wanaweza kukusikiliza
 
Na hii ndio bongo wanakujaza upepo ukijaa ukaalibu wanapotea
Umenikumbusha kipindi tunasoma kuna jamaa aliitwa ofisini kwa HM sa wadau wakampampu kwamba usiende usiende akikuzingua tunakinusha, baada ya mda mwalimu wa nidham akamfata jamaa akambeba msobe msobe jamaa akala mbata za kufa mtu na susp ya siku 21 na hakuna hata mmoja alisimama kumtetea ndo nkakumbuka msemo together we stand alone you suffer
 
Hao ndio wabongo mwingine wakutoa ushuhuda ni Mange na Mbowe
 
Back
Top Bottom