AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Atapotea kama wenzie kwanza ameonyesha zarau sana ataondoka na mkewe josephine habebi mtu yyte chadema ni ya wananchi sio yake
vaa helmet kabisa mkuu
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi
Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.
Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.
Laana itamtafuna huyu mzeee
Tulieni dozi iwapate vizuri... sio wote wenye tabia za Kinyumbu!
Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie?
Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.
Dhambi ya kukaribisha lifisadi imeanza kuwatafuna mapema namna hii? Hata huyu Padri aliyejitolea maisha yake yote kukitumikia chama na kukifikisha hapa kilipo naye mmeanza kumpiga jaramba?
Chonde chonde jamani. Kuna mamilioni ya watu ambao kwa mara ya kwanza wanategemea "ukombozi" kutoka kwenu japo kwa sasa wako disillusioned na hawana uhakika kama Lowassa ndiye mkombozi waliyekuwa wakimsubiri. Angalieni basi msiwaangushe. Please!
Karibu CCM.... Hakuna ubabaishaji huku!CCM mkubwa hebu nenda huko usimubirie dozi ya lowasa
Mimi huyu padri mzinifu kaniudhi kweli na hilo shugar mami lake
Beware of false knowledge; it is more dangerous than ignorance-George Bernard ShawKwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi