Heri yakutokee ujanani.

Heri yakutokee ujanani.

Kwanza ni vizuri nijue jinsia yako.
Kuchepuka ndio chanzo cha haya yote... Mke anabaki na maumivu kwa kuwa wanawake wengi huwa hawaondoki kwa ajili ya uasherati wa mme, inafikia hadi mme wa mtu anazaa na wanawake wengine...hapa hamjui ni kiasi gani mnawaumiza wake zenu.. Lkn bado ataendelea kuwa na wewe, akisema unazuka ugomvi mkubwa. Kipato cha familia mme anahonga michepuko mke akiomba anaambiwa hela hakuna, acheni kutafuta vi-excuse vya kuwaumiza wake zenu ili msiumizwe uzeeni hadi na watoto wenu ambao wameshuhudia tabia zako chafu... Wapo wazee wanaofurahia maisha ya bibi na babu kwa kuwa waliishi vizuri na wake zao. Km umeamua kuoa kwann Kuzaa zaa hovyo na makahaba, si ungebaki bachelor ukazaa na uwatakao kwa uhuru?
MNAYATAKA WENYEWE MKATAE MKUBALI
 
Kama unajijua ni bandidu usiwekeze kwa mwanamke mmoja ili kuepuka kifo cha uzeeni kitokanacho na msongo wa mawazo uliosababishwa na mkeo
 
Ndoa ni ndoano dawa ya kuondoa stress hizi ni kuchepuka tu amna namna mana wanawake ni ugonjwa wa kanza part II
 
Habari wapendwa, naamini jpili njema na mujarab.
Wiki iliyopima nilipata fursa ya kuhudhulia seminar ya neno la Mungu katika harakati za kujijenga kiimani. Baada ya Seminar Pastor akasema Mwenye Shinda yeyote asimame na kueleza umma. Sikuamini macho Yangu yaani alisimama mbaba wa age btn 65-70 akiwa na majonzi anadai ina matatizo ya ndoa. Pastor akamwambia wataongea private. Niliumia sana nikamkumbuka kuna Mzee mmoja naye nilishuhudia waligawana vyumba na Mkewe, yeye banda la uani, Mke Nyumba kubwa Bahati mbaya Mzee hiyo Mzee amefariki. Hizi vurugu za ndoa ni bora zikupate ujanani unaweza kujipanga na kusonga mbele. Tuishi nao kwa akili, leo unafurahi ndoa yako ukafikili ndo mtazeeka pamoja.
Ndiyo maana wanaume tunatakiwa kuwa na vikao vya pamoja kila baada ya kila miezi 3.

Hii inasaidia kupeana mbinu mbadala.

Mwanamke ni kiumbe imara na hatari sana aliyejificha kwenye kivuli cha UDHAIFU.

Ukicheka naye saaaaana utavuna maumivu makali sana.
 
Sio wanaume tuu hata wanawake wanateseka sana kwenye ndoa zao! Ukiona kwako kuna afadhali mshukuru Mungu mno, na usichoke kuiombea ndoa yako!

Ni Mungu tuu atupe wenza wenye hofu ya Mungu kwa pande zote mbili!
 
Ndoa ni ndoano dawa ya kuondoa stress hizi ni kuchepuka tu amna namna mana wanawake ni ugonjwa wa kanza part II
Unachepuka kutafuta nini ambacho kwa mkeo hakipo?
 
Sababu kubwa wanawake ndio chanzo gubu wamezidi hatar, inshu nyingine ni hii wanawake wengi walio kwenye ndoa wamekuwa wagumu sana kutoa kitumbua matokeo yake tunaenda kujilia vyetu sie nnje
Na Mimi nimeuliza hivyo nasubiri jibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom