Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,758
- 28,350
Watauchafua huu Uzi sio muda wakidai mwanaume hapaswi kukumbuka hata km yupo
Akikataa naomba unipe Mimi.Unataka Tunda la mti wa katikati
Kama Luca alivyokupenda.Ukitaka kujua mwanaume ana roho nzuri subiri akupende.
macho yakoKichwa chako
Naunga mkono hoja kwa uzito mkubwa sana na moyo wa shukrani...Hatupingani na Hilo.
Nyie ni watu bwanaaa!
Mnatupambania vilivyo.
Tunawapenda sana.
Sawa sawa mkuu....... ngoja niendelee kusherekea siku ya wanaume tu!Hilo sio tusi ni kiungo