Heri ya Siku ya Wajane Duniani 23 Juni, 2024

Heri ya Siku ya Wajane Duniani 23 Juni, 2024

Nakushukuru wewe na wengine wote kwa muda wako kusoma taarifa hii. Nina Imani utawapa na wengine wajue na waendelee kufuatilia taarifa hizi kwenye kurasa mbalimbali za wizara ya Jamii.
Kwakweli leo ndio nimejua kuna siku ya wajane!!
 
hii mpya kwangu wallah

vipi kuhusu wagane?
Siku moja itakuja tu kwa mazingira ya Dunia ya Leo iwapo tafiti zitabainisha hitaji hilo. Tayari sera mpya ya jinsia tuliyozindua 8 Machi 2024 imetambua kwa upana ushiriki wa wanaume 🤝🇹🇿
 
Siku moja itakuja tu kwa mazingira ya Dunia ya Leo iwapo tafiti zitabainisha hitaji hilo. Tayari sera mpya ya jinsia tuliyozindua 8 Machi 2024 imetambua kwa upana ushiriki wa wanaume 🤝🇹🇿
MUNGU atupe uzima na afya njema
 
Poleni sana, hongera kwa mama huyu aliyesimama kwa nafasi yake🙏🏽, Mungu ampe heri na baraka zake. Tuendelee kuwapa taarifa wengine 🤝
Wamama wanaumia sana pale wanapofiwa wakiwa waume zao wakiwa wadogo. Imagine my mom at 25 alikuwa njane hakuenjoy maisha ya ndoà yaani namuoneaga huruma. Afu mara nyingi anasemaga alibakigi kwetu kwa ajili yetu, naumiaga sana
 
Back
Top Bottom