Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

Joined
Mar 27, 2025
Posts
33
Reaction score
45
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

f93f24a7-1bf5-4359-9c64-069fc617015a.jpeg
 
Hongera BLFT kwa kuwa wanachama humu jukwaani

Leo tukiazimisha siku ya wafanyakazi Tanzania na duniani je mnamaoni gani na mpango gani juu ya Watanzania wanaobuni na kugundua dawa mbali mbali za asili zinazotibu maradhi mengi

Lini mtaanza kuwatambua na kuwasajili?

Mmejipangaje kuhusu kuanzisha kozi za mimea tiba kwenye mitaala ya famasi ili kuchochea ugunduzi wa dawa mpya kwa vijana wasomi na ukuaji wa sekta ya dawa?

Je mmejikita kwenye utoaji wa dawa, utunzaji na usajili pekee?

Kwanini mmefuta kozi za ADDO ?

Nawasilisha nitashukuru kwa moyo wa dhati na unyenyekevu mkubwa endapo nitapata ufafanuzi

Ni mimi OMOYOGWANE member wa hapa jukwaani Mtanzania mkulima

Ahsante
 
Heri iwe kwenu pia. Lakini mnatutakia siku hii wakati baraza lenu haliajiri kwa muda mrefu sasa na wafamasi tupo tu mtaani. Ajirini tafadhari, haiwezekani baraza halina wafanyakazi wa kutosha, ada mbalimbali tunalipa, lakini bado hamtoi ajira.
 
Hongera BLFT kwa kuwa wanachama humu jukwaani

Leo tukiazimisha siku ya wafanyakazi Tanzania na duniani je mnamaoni gani na mpango gani juu ya Watanzania wanaobuni na kugundua dawa mbali mbali za asili zinazotibu maradhi mengi

Lini mtaanza kuwatambua na kuwasajili?

Mmejipangaje kuhusu kuanzisha kozi za mimea tiba kwenye mitaala ya famasi ili kuchochea ugunduzi wa dawa mpya kwa vijana wasomi na ukuaji wa sekta ya dawa?

Je mmejikita kwenye utoaji wa dawa, utunzaji na usajili pekee?

Kwanini mmefuta kozi za ADDO ?

Nawasilisha nitashukuru kwa moyo wa dhati na unyenyekevu mkubwa endapo nitapata ufafanuzi

Ni mimi OMOYOGWANE member wa hapa jukwaani Mtanzania mkulima

Ahsante
Udhibiti na Usajili wa Dawa upo chini ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba na kwa dawa za asili zinazajiliwa na Baraza la Tiba Asili chini ya Wizara ya Afya ambalo lina wawakilishi kila Mkoa na Wilaya wanaofanya kazi chini ya Ofisi za Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Pia Taasisi ya Tiba Asili - Muhimbili (Institute of Traditional Medicine) wanatoa mafunzo ya muda mfupi na mrefu kwa watu wanaojihusisha na Tiba Asili. Unaweza kuwatembelea Upanga Muhimbili au kupitia tovuti yao.

Ahsante
TM
 
Ahsanteni pia
 
Back
Top Bottom