blackjapanese
Member
- Feb 28, 2016
- 90
- 27
Nawatakia heri ya pasaka staff wote wa jf pamoja na wanachama wa jf wote.
Nawatakia amani katika kusherehekea hii sikukuu, lakini pia nawaomba leo tutoe mada nyepesi nyepesi ili kuepuka kuambulia mipasho na matusi katika sikukuu ya leo.
Asanteni na Mungu awape furaha.