Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

Nature ya post zako ni wazi kabisa kuwa wewe ni kijana msanii...kwa maana hiyo yakupasa umuheshimu sana waziri wako
Teeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh eti waziri
 
Sisi huku ugambani tuna mawaziri 34,makatibu wakuu 50
 
Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
Umeshahama huko mabondeni?.. au blablaa kibao thubutu kukutwa na tingatinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…