Huo ndio ukweli haswaaaNimemsikia mtumishi mmoja wa Mungu leo akisema kuwa kuna watu waliibiwa kura, ila Mungu aliamua kulinda Amani ya Tanzania. Na akasema wale waovu waliofanya vile, watadharauliwa na jamii. Tunakushukuru Mungu sana kwa Amani & Umoja wa Taifa letu.
Asante sana kamanda
Mapambano yanaendelea kamanda na wanaukawa wote tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu na Mungu yupo pamoja nasiAsante sana kamanda