Heri ya Mwaka Mpya 2016.

Wakuu nawatakieni Member wote Heri ya Mwaka Mpya 2016 na Mungu atutangulie.

asante nawe pia bila kusahau na members wote wa JF, moderators pamoja na waanzilishi wa JF akina Melo na Mushi kwa ujumla kila mmoja wenu awe na mwaka mpya huu 2016 mwema ulio na mafanikio na fanaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom