Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Da Preta we nakuaminia ebu nsaidie mwenzako ndo mwaka gani tena huu 1434 mi nafkiri Yesu anakaribia kurudi kumbe bado safari mbichi!
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434
Mkuu, tunapost vitu tulivyo na uhakika navyo hatuvibuni hata kidogo.Jamani huu ni mwaka wa hindu che na wala sio hijr kalenda, wahindi jana walikuwa wanasherekea mwaka wao mpya wanakalenda yao, kama uli notice jana baadhi ya maduka mengi na maofisi ya kihindi hayakufunguliwa au yalifunguliwa nusu siku. mpo hapo
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434
Fafanua kidogo,
Kwa hiyo waislam watakuwa wanakosea kusherekea mfano huu mwaka mpya 1434? ama sijakupata?
cc waislamu tunasherehe mbili au za aina mbili nazo ni kusherehekea idy fitr na idy hajj hizo sherehe pekee alizosherekea mtume s.a.w ila sherehe kama birthday,mwaka mpya na nyinginezo hazijafanyika na mtume s.a.w wala masahaba zake.
Anamaanisha bidah ya kishariah (ibada)Kwahiyo ambacho hajafanya mtume na we hufanyi?... Basi hutoenda mbingun maana mtume hakuwa na simu wala laptop na wala hakuwah ingia JF
Mwaka wa kiislamuu unaanzia na tukio la kuhama kwa Mtume Muhammad(rehema na amani zimshukie) kutoka Makka mji aliozaliwa na kwenda Madina mji aliomalizia maisha yake na alikozikwa.mkuu mungu akubariki, maana we' ndo umenielewesha vizuri zaidi .........