Heri ya Mwaka Mpya 1434

Heri ya Mwaka Mpya 1434

Ahsante, Nawe Pamoja na wana JF wenzangu nawatakieni mwaka mpya mwema, wenye furaha na mafanikio
 
Last edited by a moderator:
Kusherekea mwaka mpya nikuwaiga wasiokuwa waislamu na ni jambo lisilofaa,tumuigeni mtume wa Allah na ndo uislamu.
 
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434

Naamini ingefaa isomeke hivi:

Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya wa kiislam ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434

kwa sababu si wote wanaoelewa ,na wengine wanaleta utani n.k

ila kwa sasa nimeelewa...
Blessed be you as well katika mwaka mpya huu.
 
Ukiulizwa umezaliwa mwaka gani unasemaje? vyeti vyako vinasemaje...leo ni tarehe ngapi mwezi gani?......watu mnapenda kujidanganya na kuleta ubishi tu alafu mkieleweshwa mnataka kuandamana
 
Ukiulizwa umezaliwa mwaka gani unasemaje? vyeti vyako vinasemaje...leo ni tarehe ngapi mwezi gani?......watu mnapenda kujidanganya na kuleta ubishi tu alafu mkieleweshwa mnataka kuandamana
Mkuu, leo ni tarehe 1, mwezi wa kwanza, mwaka 1434. Usichoelewa hapo ni nini?
 
Kusherekea mwaka mpya nikuwaiga wasiokuwa waislamu na ni jambo lisilofaa,tumuigeni mtume wa Allah na ndo uislamu.
Fafanua kidogo,
Kwa hiyo waislam watakuwa wanakosea kusherekea mfano huu mwaka mpya 1434? ama sijakupata?
 
Awal Muharam To all JF ummah ....

mzidishe ibadah InshAllah
 
Wapenzi wana JF wote napenda kuwatakieni mwaka mpya ulioanza leo wa 1434 uwe wa furaha, amani na matumaini tele. HAPPY NEW YEAR 1434

Shukran, nami natoa mkono wa kheri, baraka na fanaka za mwaka mpya wa Kiislamu wa 1434 Hijria
 
sasa huku kutoa kwenu mkifika 1 halafu 0 halafu mtaanza ku-plus au inakuwaje? Wenzetu walikuwa wanatoa (BC) na baadaye wakafika 0 halafu wakaanza ku-plus (AD); je, ninyi mko nyuma ya muda?!
 
untitled(18).jpg

zomba Ritz njiwa mzabzab Wingu hoyo ni zawadi yenu wakuuuu
 
Last edited by a moderator:
mkuu JAGalrd....nadhani utakuwa umeelewa.......

Dah nashukru sana nami nimeelewa nini kinaendelea,HERI YA MWAKA MPYA DA PRETA NA JF MEMBERS WOTE....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom