Heri serikali ya kikoloni kuliko hii ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heri serikali ya kikoloni kuliko hii ya ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpingomkavu, Dec 28, 2010.

 1. m

  mpingomkavu Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu tumepat uhuru tumekuwa tukiongozwa na serikali ya ccm,lkn walichokifanya ukilinganisha na ile ya kikoloni utaona wakoloni walifanya mambo makubwa sana kuliko hawa mafisadi sasa tuombe wakoloni warudi na ccm waachie ngazi
   
 2. D

  DENYO JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa wa sasa ni waporaji inauma, natamani nyerere afufuke
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mkoloni alijenga reli ya kati,kaskasini,kusini.barabara hata kama si za lami!Alileta mbegu za mazao ya biashara katani,kahawa,karanga,pamba etc,wananchi walipata ajira katika mashamba makubwa.Darasa la 4 la mkoloni sawa na form 6 ya sasa.huduma ya afya ilikua ya uhakika dawa za germany sii za india au china dozi huponi
   
 4. e

  emma 26 Senior Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwajui wakoloni ndo maana unalingania na ccm,usingeweza kuvaa viatu
   
 5. k

  kuthumiwa haule Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza ninawapongeza kwa kutambua kuwa ccm siyo wa kuwachekea, wasonge mbele na maandamano hayo, ingawa bado sijawaelewa kitu kimoja wao ni chama cha upinzani au ni mshirika mwenza wa serikali ya ccm , unawezaje kuwa serikalini bado unalitaka joho la upinzani, hivi 2015 watawaambia nini wazanzibari, kuwa serikali imeshindwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi wakati wao leo na kesho ni sehemu ya serikali hiyo hiyo, je siyo wamenaswa katika mtego bila kujijua, na baada ya kugundua hawana la kufanya zaidi ya kukubali yaishe? Naomba nitoeni ushamba.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  We mngoni..................hebu kaanze kule kwenye kujitambulisha................... Hauliiiiiiiii hauliiiiiiii.........Mbona unakula..........???? Sorry wote of topic.............

  Back to topic................... wakoloni siwataki na ccm siitaki.................. kwangu mimi hapo ni sawa na kuchagua kati ya kongagi na VAT 69 wakati zote ni pombe kali...........
   
 7. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kutawaliwa tena na Mkoloni?

  Awatawale watu wengine, si Watanzania.

  Mtoa hoja anahitaji ukombozi wa kimawazo!
   
 8. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kiuchumu mkoloni alikuwa makini kuliko hao wa ccm. Inavyoonekana asingekuja mkoloni kusingekuwa na Reli kwani tangu atoke Mjerumani hakuna kilicohendelea katika reli hiyo. Alitachareli ya njia moja, mpaka sasa ni ile ile. Wenzetu katika nchi zilizoendelea wanategemea sana reli katika katika usafiri wa mizigo na abiria, sisi ndo tunazidi kuua hata hiyo aliyoacha Mjerumani
   
 9. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Ukoloni tena, kweli jazba za wabongo wakati mwingine ni hatari mtu kwa hiyari yake ataka wakoloni wamtawale basi utawaliwe peke yako wakati wengine tunatafakari kutatua matatizo yaliyopo.
   
 10. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Tema mate chini
   
 11. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni unafiki kwani hamtawaliwi na Wakoloni? Si wamebadili jina tu? Mna Uhuru gani nyie? Wa kwenda mnako taka? maamuzi ya mstakabali wa nchi yenu mnafanya nyie? si wanafanya wao nyie mnatia saini? tena mahotelini kwao huko! Mkiomba msaada wa barabara wa bilioni mbili wao wana chukuwa dhahabu za trilioni tatu! Mna uhuru nyie? Hivi kwa mfano wakisema sasa basi tusijuane kwa lolote mtafanyaje? wakati bajeti yenu inategemea wao zaidi ya nusu? Acheni kumzodoa mtoto wa watu amefikiri sawa kabsa mwacheni aseme ana hasira!!!!!!!!!!!! ni kama mfiwa mwache alie apunguze majonzi ndipo mwanze kumhoji sasa tutazika wapi? Viginevyo hamtaelewana WAJAMENI!!!!!!
   
 12. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  cha kuenzea kuna mzungu 1 huko marekani aliandaa program na kusema BLACK DNT READ AND IF YOU TO HIDE THE SECRETS OF SUCCES TO BLACK PEOPlE,PUT IN WRITINGS. Hakuishia hapo alisema kua sasa wanatutawala kwakutumia kalam na karatasi kutupangia kila kitu huku wakiwa huko huko kwao ila vibaraka wao akina mkwere na mafisadi wenzao wanasimamia maslah ya mabwana zao wa huko.
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  ''kwaheri ukoloni kwaheri uhuru''
   
 14. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa wakoloni hapana.... na hata CCM hapana vilevile!!!
   
 15. papaa-H

  papaa-H Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakoloni wangekua na roho kama za viongozi we2 wa sisiem (mafisadi) nadhani wangeliangamiza waTZ enzi hizo ili waimiliki nchi wao, maana hawasisiem ni watz wenzetu lakini wanavyotuchukulia na kutufanyia....mmh! Mungu liokoe Taifa hili
   
 16. comson

  comson JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwa lipi baya alilosema...

  Me cshangai kijana anayeona bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko **** raia Tz.....
  We toka unakuwa serikali imekufanyia jambo gani linalokumotivate wewe uwe mzalendo....? Me hakuna zaidi inanifundisha kujilimbikizia mali ndo njia ya kuwa na gudlyf.... Pia unafiki,uzandiki na ulofa wa kuona uongo ndo ukweli (unga wa ndele)... mfano ni raisi wetu na wafanyakazi aliongea uongo akapigiwa makofi na wazee... Hapa nina hofu na unafiki wa ¤¤¤¤ wetu..,
  Ila tukirudi kwa mkoloni alijenga reli ambayo imetushinda...viwanda vidogovidogo vilivyouliwa na viongozi wetu.....
  Niisifu serikali yetu kwa lipi jema walilofanya kwa wananchi wake kama imeshindwa kuwajali wanafunzi( baba kushindwa kumjali mtoto wake ) asifiwe kwa lipi.......?
   
 17. comson

  comson JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sasa bora nani.....? Hv hata marais nao tunataka substution....!!! Kuwa specific bwana me bora mkoloni alitujengea reli na shule bora tofauti na hizi za kata....
   
Loading...