kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Dec 31, 2020 #1 Napenda kumshukuru Mwenye Enzi Mungu Wetu kwa ajili ya Tanzania yetu, viongozi wake na wananchi wote kwa Upendo kwa Taifa letu. Namuomba Mungu wetu atuongoze tena mwaka tunaoutazamia 2021 atufanye watu wake atuvushe salama, AMEN.
Napenda kumshukuru Mwenye Enzi Mungu Wetu kwa ajili ya Tanzania yetu, viongozi wake na wananchi wote kwa Upendo kwa Taifa letu. Namuomba Mungu wetu atuongoze tena mwaka tunaoutazamia 2021 atufanye watu wake atuvushe salama, AMEN.
D dndagula JF-Expert Member Jul 24, 2016 1,462 1,445 Dec 31, 2020 #2 Tuanze na Mungu na tumalize na Mungu 2021.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,915 Dec 31, 2020 #3 Kwa niaba ya The Great Thinkers wote, kwa moyo wa shukrani napokea salamu zako
Ndalilo JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,964 6,351 Dec 31, 2020 #4 Mungu anayeishi akatujaalie sisi taifa lake AMANI, UPENDO, UMOJA, AFYA NJEMA, MAFANIKIO katika kazi za mikono yetu na BARAKA zake kwetu sisi, akadumishe utamaduni wa kifamilia na NDOA asili, tena akatujaalie UZAZI kwa kadiri ya mapenzi yake. AMINA.
Mungu anayeishi akatujaalie sisi taifa lake AMANI, UPENDO, UMOJA, AFYA NJEMA, MAFANIKIO katika kazi za mikono yetu na BARAKA zake kwetu sisi, akadumishe utamaduni wa kifamilia na NDOA asili, tena akatujaalie UZAZI kwa kadiri ya mapenzi yake. AMINA.