Heri na Fanaka Watanzania

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Napenda kumshukuru Mwenye Enzi Mungu Wetu kwa ajili ya Tanzania yetu, viongozi wake na wananchi wote kwa Upendo kwa Taifa letu.

Namuomba Mungu wetu atuongoze tena mwaka tunaoutazamia 2021 atufanye watu wake atuvushe salama, AMEN.
 
Mungu anayeishi akatujaalie sisi taifa lake AMANI, UPENDO, UMOJA, AFYA NJEMA, MAFANIKIO katika kazi za mikono yetu na BARAKA zake kwetu sisi, akadumishe utamaduni wa kifamilia na NDOA asili, tena akatujaalie UZAZI kwa kadiri ya mapenzi yake.

AMINA.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom