iPhone zimezidi kuwa na vi-screen vidogo bana, its about time waanze kucompete na the likes of Samsung Note 3, lile li-screen lafurahisha atii!
lisimu halienei hata mfukon mkuu?!! size za 4s ndiyo zilikuwa size standard za simu, 5 na 5s japo waliongeza kidogo si mbaya sana lakin zaidi ya hapo haina maana, ndiyo maana kuna iPad Mini!
mtu asiekuwa na tablet au laptop hawezi kukuelewa, maana device zao ni 3 in 1 au 2 in 1 kila kitu humo humo.
ila 4.7 sio mbaya sana na wameieka ndefu hata ukiishika utaweza kutype na mkono mmoja ambacho ndo muhimu zaidi. nafkiri itakuwa 16:9 kama iphone 5 na 5s
wanaintroduce version ya 5.5
Mwaka 2010 RIM waliambiwa soko limeamia kwenye touch screen wakapinga kwa madai qwerty keypad ndo alama ya blackberry, kilichowakuta kila mmoja anajua!! Apple wanegundua soko limeamia kwenye simu zenye vioo vipana unataka warudie kosa la RIM?