Here comes Daudi Albert Bashite

wewe hujaelewa tatizo lugha mkuu.
 
Acheni Majungu Makonda baba piga kazi lengo lako wenye uelewa tunalielewa. wewe ni mtetezi wa wanyonge. Mahakama ndiko huko kunakolalamikiwa
 

kumradhi mkuu "PBK" huyu bwana PBK ni yule yule aliyekuwa "Tanzanet" na "Nethuru" enzi zile za dhahabu?
 
Uwivu wa kike...na waliochini yake wanafanya kazi gani?yy anaonesha njia ili wengene wafuate...

1.Madawa Ya Kulevya
2.Hakuna Yard ya Magari Mjini
3.Kuanzishwa kwa Shopping Mall/Banks Sehemu Moja
4.Kutibia watu kwenye Meli.
5.DAR Mpya -Kuskiliza Kero na Kutukana Watendaji wa Serikali
6.Kufatatua kero za watu waliodhulumiwa Ardhi/Nyumba.
7.Kutatua kero za Single mother waliotelekezwa na wenzi wao na wasiotoa matunzo(Kid Support)
8.Kutengeneza Magari ya Polisi
9.Kuwatengenezea Fursa wafanyabiashara amesema waende kwake wakampe matatizo na changamoto zao.
10.Kutengeneza Shule/Nyumba za walimu,Madawati ya kukalia.
11.Walimu kutolipa nauli.
12.No Tint DAR
13.Jumamosi ya usafi ya BASHITE.
 
Hivi kati ya haya maneno mawili ' I remain to be corrected ' na ' I stand to be corrected ' ni lipi mbele ya Muingereza mwenyewe linakubalika na ukilisema au kuliandika unaonekana kweli Wewe ni ' Wordsmith ' uliyetukuka? Mnaojua vizuri Kiingereza naomba msaada tafadhali.
 
You didnt understand the content of the post.
Try to go through it again,you can have your dictionary by the way,and an English Instructor.
 
Myself I wonder sawing a beloved son of man stopping a court order... I think a best approach for him before came to mass was to consult the urafiki side begging them to allow the market activities to continue for a while, at the moment the city looking for a place to place a new market, then after that he may came to mass telling them the urafiki side accepted their request and you may continue with you activities for a while...
 
Kama haujui kiingereza ungekaa kimya kwa kifupi jamaa amemkejeli na amesema haiwezekani kutatua tatizo kwa akili zile zile zilizotengeneza tatizo tena mtu anajidai kutatua tatizo ambalo lipo kisheria wakati sheria yenyewe haijui...shule ulienda kufanya nini kama umeshindwa elewa kiingereza rahisi namna hii..?
 

Hujamuelewa mleta mada aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…