ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,262
- 4,445
- Thread starter
- #21
Nashanga kipofu anaona makosa ya lugha lakini makosa ya Bashite and Co mnajifanya eti hamuoni.Kumbe mmezoe kupiga chabo mnacopy hadi namba ya mtihani oneni sasa mnavyojificha jua kwenye vivuli vyenu wenyeweYaani hata makosa kibao huyaoni? Ha ha ha, watu mnatishika kirahisi sana.