Here comes Daudi Albert Bashite

Here comes Daudi Albert Bashite

Wachina wangu hapa niliwauliza " mna vyeti ya kazi mnazofanya" JIBU hatuna...muhimu kwetu ni kujua kazi kwa vitendo NA tunatumia natural leadership & mgt skills Na tunaweza kushindana na nchi zote duniani..na wapili kwa uchumi duniani...kingereza hatujui...BASHITE PIGA KAZI......WENYEVYETI wamefeli na wametuibia miaka yote....MUNGU KAKUPA UWEZO NA KIPAJI kitumie...TUSAIDIE wtzania
Nani alikuambia wachina hawajaenda shule. Wao wanajifunza kwa lugha yao mpaka PhD. Hivyo kutojua kwao kiingereza isikufanye ufikiri kuwa hawajasoma.

By, the way, huwezi kurun a modern economy kama China bila watu wako kuwa wameenda shule ya maana.
 
Tuachieni Makonda wetu, tunajuwa ana damu ya kunguni, wacha aendelee kuhudumia raia wa mkoa wake..
 
Asante!
Sometimes your brain may have some problems with organizing ideas and hence you may end up looking for order where there is no order.All in all I am not a literary scholar and neither am I learned in the Syntax of this foreign language I therefor think it is inpropriate of you to focus your mind in the structure and not the context.It seems you are also a Dalit
 
Ujinga nikumpamba mjinga kwa ujinga kudhania wote tu wajinga kwa ujinga wa mleta mada na upumbavu wa anayesifiwa kwasababu nimjinga kwa vyeti feki, mjinga kwa program zakijinga... Tokomeza dada powa, tokomeza wanamuziki, ujinga wakuvamia wanahabari, ujinga wakujikweza kama Mungu, ujinga wakujiona zaidi ya pm ujinga wakudhani yeye ni bora bila vyeti ila wengine hapana.

Very silly post.
Please respond in English to match with original post.
 
Yabainishe na kuyasahisha ili wengine tujifunze maana JF ni darasa pia
Sawa nimeelewa maana ya majibu yako. Kikijua Kidhungu ni kazi kweli kweli
Sina huo muda. Angalia tu utayaona wazi wazi. Kwa kukuonjesha kidogo tu:-

...To most people whose vision are myopic and who believe that they are at the mercy of the rulers he is the long awaited savior...

...would have at least a half of his creative genius may be we would have a better world...
 
Tumetoka kwenye kuangalia utendaji, tukaja kwenye ung'enge na sasa tupo kwenye kitu kinaitwa 'character assassination'.Wali najiuliza ni mbona tunapoteza muda mwingi kwa vitu ambavyo ni vya kupita na ambavyo hata majibu yake tulishayaoona.Hivi LOWASA, SUMAYE, MALECELA hawakuwa mawaziri mkuu. Ni nani angetegemea kumuona Dr SLAA IKULU akitabasamu na Mwenyekiti wa CCM na nani angejua kuwa MAKAMBA NA NAPE wangefunga midomo,Historia ina njia zake za kawaida tu za kutufundisha shida yetu sisi ni wasaulifu sana.Tuache watu wapige kazi, waharibu kazi zao na historia itawahukumu wakijisahau!!!!!
 
Nani alikuambia wachina hawajaenda shule. Wao wanajifunza kwa lugha yao mpaka PhD. Hivyo kutojua kwao kiingereza isikufanye ufikiri kuwa hawajasoma.

By, the way, huwezi kurun a modern economy kama China bila watu wako kuwa wameenda shule ya maana.
na sisi basi tutumie lugha yetu mpk vyuoni hili tuelewe kama wachina........mwingereza mwenyewe kapitwa maarifa na mchina.....
 
..........daaah ndo alivyo andika !?? mie nimeoita juu juu tu !
Ukimsikiliza Bashite mtu ambaye hamfahamu vizuri anaweza kudhani ni kiongozi mzuri lakini nyuma ya pazia ni mshenzi aliyetukuka
 
Ujinga nikumpamba mjinga kwa ujinga kudhania wote tu wajinga kwa ujinga wa mleta mada na upumbavu wa anayesifiwa kwasababu nimjinga kwa vyeti feki, mjinga kwa program zakijinga... Tokomeza dada powa, tokomeza wanamuziki, ujinga wakuvamia wanahabari, ujinga wakujikweza kama Mungu, ujinga wakujiona zaidi ya pm ujinga wakudhani yeye ni bora bila vyeti ila wengine hapana.

Very silly post.
Hujamuelewa rudia kusoma tena but this time BETWEEN THE LINES
 
Back
Top Bottom