Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Sisi mameneja tunavaa suti za kofi olomide bana,
Hahahah hahhah uwiii mie,
Unajua hiyo fani uliyochagua mavazi yake kwa wanaume ni utata mtupu,
Hapo ndio nilikua napasubiri lol!

Kwenye maonesho yenu huwa mnawalika wale wa kanga moko au wale mabwabwa maana nasikia wanahusika sana kujaza mashabiki ukumbini!!!
 
Dah! sasa waheshimiwa inabidi nilog out, kuna mzembe anatiwa kitanzi leo (anaoa) acha niwahi ubwabwa wa bure.
Mbaki salama na wala msitongozane ispokuwa kwa zarura maalum.

Ujumbe wa leo: tusaidiane kuishinikiza serikali mirungi ihalalishwe Tanzania.
Asanteni sana
 

heheeh Kanga moko bana, mabwabwa walisababisha MV Bukoba ikazama au ushasahau?
 
Asante sana YM.

Malizia kupamba hai tebo kabla wageni hawajaanza kuwasili.
 
Nami niungane na members wenzangu kukupongeza kwa kutimiza mwaka hapa JF-MMU, Jana Bishanga nae alijipongeza kwa kufikisha post ya 5,000, Nyote wawili nawapongeza sana coz vibweka vyenu vyafanana.
Pongezi zako Kongosho kwa kutimiza mwaka mmoja! bila ban.
 
Haya bana, wewe log out hasara yako.
Unasikia vituunguu swaumu vinavyonukia na maharage.

Haya, mtieni kitanzi chema huyo mwenzenu.

 
Asante MS.
Ukiona mtu hapati ban ujue ni Strategic Manager kwa kuzaliwa.

:gossip: (Lazima ujue kuishi na watu hasa Mods)

 

Siku nikila ban(sidhani kama itatokea),nikirudi kifungoni tu,naandaa pati la nguvu la waliowahi kulambwa ban,na watatambulishwa wale waliowahi kula ban mara nyingi kuliko wenzao,na idadi ya ban...
 
Hapa bado tunaandaa sherehe, tuko kwenye stage ya upishi.
Unajua kutengeneza chakula chochote, ila sio maji ya kunywa.

Hapo Blue, am humbled...
Nakuaminia sana Konnie..

Wewe ndiyo my JF Super Celebrity!

Enhe.. Kuna mchakato gani unaoendelea?
 
Hapa bado tunaandaa sherehe, tuko kwenye stage ya upishi.
Unajua kutengeneza chakula chochote, ila sio maji ya kunywa.

Hapo Blue, am humbled...

Tengenezeni vyote Konnie.. Mi niaminieni kwenye "Saladi"...

Ila ntatengenezea home,kisha nitaleta humu ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…