Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Jaman my lovely wii,Kwani wifi hujajua kuwa klorokwini wa jf ndie bob junior?... Zubaa hapo shauri lako.
Afu bado nimekununia mpaka mwakani mwezi kama huu!
Hahahah hahahhha,heheeh stage show tutamuweka boflo wa JF, mimi nitakuwa naonekana mida za kukusanya mapato tu.
Maskini husninyo!!! Atamkumbuka sana uporoto daaah, huo uzi sijauona asee. Judgment bana.heheeh huyu hazbend si jana tu kaanzisha uzi wa dadapoa wa mwanza? hehehe uskute presha ya ule uzi ndio ka husninyo kamelazwa zahanati ya mpwapwa.
heheheKwani wifi hujajua kuwa klorokwini wa jf ndie bob junior?... Zubaa hapo shauri lako.
Afu bado nimekununia mpaka mwakani mwezi kama huu!
Hahahaaaa majingu hayo....safari na miziki JG....Hapa raha mwanzi mwisho kwanza sisi ndo wapishi wakuu lazma tukapange mambo sawa pembeniOder pliiiz ! Mmekuaje nyie ? Hamuishi vijisekreti ! Mpaka mwenye shughuli analalamika mnamtilia Nzi kwenye Uzi wake! Kwenye shughuli je ? Si ndo mta......
Kabakabanaunamuongelea nani?
Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.Hahahah hahahhha,
Ila ujue siku moja moja lzm uwafurahishe washabiki kwa ww kuingia mzigon live atiii!
Umesahau boss ndio mfano kwa wafanyakazi wake????!
Hane muni gani mnakaribia kumaliza mwaka hamrudi nyumbani, mnataka mkuje na mtoto kabisa au?.. Haya nakuchekea kwa leo tu vile umesema una habari njema za hane muni. Unipigie unambie ili nifurahi...Jaman my lovely wii,
Hv unajua mie iko penda sana ww?
Usinunie bana unajua nina habari njema kutoka huku hane muni...........!!!
Huyu kloro km anaziweza zile swaga nitakua mteja wake wa kudumu kwa bendi yake atakayoanzisha lol!
Huyu husninyo inabidi akakoge maji ya river limpopoMaskini husninyo!!! Atamkumbuka sana uporoto daaah, huo uzi sijauona asee. Judgment bana.
Mie nilijua ananiudhi peke yangu, kumbe tuko wengi lol. Kuna nyimbo zina utata ila ya kuambiana muhogo na andazi ni kiboko, sijaielewa mpaka kesho!hehehe
nananaan naniniii nanana nanniii
Muhogo eeee andazi eee muhogo eee andazi eeee.
Dah! yaani bora ungenifananisha na marehemu kuliko huyo jamaa, anauzi ajabu.
Twaitia yakhe usiwe na wasi.
Shemeji mbona umempoteza swahiba angu Husninyo?( hapa nimeuliza huku nimenuna)
Kweli asee, mwaka wake huu. Ogopa aliachwa mbele ya umma wa wana jf... Akikosa ya limpopo akaoge hata ya zambezi yatamfaa..Huyu husninyo inabidi akakoge maji ya river limpopo
Fellow tablet kuna mdada kaondoka na nguo zake gesti, ndio tunapanga mikakati ya kumpelekea japo ka taulo ka kutokea apo gest.
Oder pliiiz ! Mmekuaje nyie ? Hamuishi vijisekreti ! Mpaka mwenye shughuli analalamika mnamtilia Nzi kwenye Uzi wake! Kwenye shughuli je ? Si ndo mta......
Hiyo nyama mpaka saivi, hamjaitia Chumvini tu ?
Itieni basi !
Nazani walikuwa wanajaribu kutetea haki za mama ntilieMie nilijua ananiudhi peke yangu, kumbe tuko wengi lol. Kuna nyimbo zina utata ila ya kuambiana muhogo na andazi ni kiboko, sijaielewa mpaka kesho!
Lol, thank you Kongosho. Hapo in bold nimecheka sana, ngoja nimuoneshe Hubby, siku hizi naona anaringa. Maybe he thinks sina alternatives zingine. lolHivi asante nzuri kabisa inatolewaje?
Au ndio, would you marry me?
Thanks RR, si unaona navyowapenda mods eeh, nimepaisha hewani, hasa wewe.
heheeh huyu hazbend si jana tu kaanzisha uzi wa dadapoa wa mwanza? hehehe uskute presha ya ule uzi ndio ka husninyo kamelazwa zahanati ya mpwapwa.
Hahhah hahhahhha,Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.