Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.
Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.
Nipo.....unataka unikute wapi?Nakutafuta.
@ kongosho hongera!
Hahahaaa hilo nampa Sweetlady ili kazi inoge....siunajua safari na maonyesho....Nyie wote nawapa kazi ya kunawisha watu shughuli ikianza.
Afu vaeni basi hata mashati masafi, Erick lako hata vifungo halina, tumbo liko nje.
We unataka nimenye vitungu nikiwa nimenyamaza.....Unanichakachulia uzi babueeeh
Tafutaneni kwa PM.
We unataka nimenye vitungu nikiwa nimenyamaza.....
Noja nikawatafute wataalamu wa kachumbali na juice za matango waje tushambulie maandalizi....
Vipi kutakuwa na Mbege au Chimpumu?
Umefanyaje tena?
Hebu ninong'oneze wewe ni nani tena?
Matangazo unaenda kutangaza nini? Maliza kumenya vitunguu afu ntakwambia pa kukukuta!.. Kaby alifika salama jana?Nipo.....unataka unikute wapi?
Mapokezi?
MMU?,Jokes?
Matangazo?
Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.
Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.
Khaaa, sherehe gani ina mikwara hivi?..Mamo ya kumtafutia hapa kwangu sitaki, si unaona anamenya vitunguu.
Acha ubaguzi kijana, unategemea via mchina tutaonaje?
Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.
Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.
Happy Anniversary kwako na mpenzi wako Efu Jei.