Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
So interesting. Kwa matendo na maneno yake, tena mengine yanayotokana na kukirinkwake mbele ya vikao kuwa amechukua rushwa kutoka CCM, Matata hana uhalali wowote wa kumzungumzia hata Katibu wa Tawi wa CHADEMA anayesimamia misingi, imani, falsafa na itikadi za chama hasa kwa kutanguliza mbele Katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama.
He will be nobody soon. Kumzungumzia Dkt. Slaa kwenye hoja yoyote ambayo ameianzisha mwanaCCM au mwanaCHADEMA anayefanya kazi za CCM kama tunavyowashuhudia wengi humu, tena hoja yenyewe ya kutunga kwa sababu tu wanamuona Dkt. Slaa kuwa tishio no. 1 pale magogoni, ni kumpatia credit za bure msemaji.
Mkuu Dr. Mwakabanje, hayo usemayo ni kweli. Mimi niliwahi kusema hivi, kuhusu baadhi ya viongozi wa Chadema katika uzi wangu huu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!
Nilishauri Chadema wakitumie kipindi hiki kujitathmini kwamba baadhi ya hao waliochaguliwa, will they stand a chance in 2015?, ili wapange timu ya ushindi mapema kabla, na sio kusubiri mpaka kipenga cha mwisho kipulizwe, kuna uwezekano ikajikuta inayarudisha baadhi ya majimbo ambayo wananchi waliwapigia kura vagombea wa Chadema with very high expectations on them, wakilinganisha na kinachoendelea, wanakuwa disapointed na 2015 wanaweza wakaamua bora kuendelea na lile 'zimwi' likujualo.
Pasco.[/COLOR]
Mwongo namba 1 duniani? loh
Yaani kwa maneno mepesi ni kuwa ukichukua waongo wote duniani mchumba wa josephine anaongoza kwa uongo.
hili neno kubwa sana! mtake radhi slaa.
Hiyo ndio sababu! Tatizo lenu cdm mnapenda kusikua mazuri ya DK slaa tu, hamtaki mabaya yake.Huyu diwani si yule aliyepokea mil 20 kutoka kwa CCM na kukiri mbele ya kamati kuu ya CHADEMA?
Hafai,huwa anamshambulia sana Dr kwenye media .
njaa ndo ilivo mwanajamvi!Chama changu kimeingia kirusi kibaya. Watu wanafanya kazi ya kubomoa chama badala ya kukijenga. Wengine wanathubutu kwa dhati kabisa kufanya kazi za CCM...
PM7 na unafiki wakoSasa mlitegemee aseme nini tofauti na hayo?Weekend njema
Hao kwa jina jengine ni wanachama kumbi kumbiSina budi nikubaliane nawe kwa hili.
CHADEMA wanatakiwa waondokane na siasa za matukio ambazo wanazitumia pia katika kuwapata viongozi wao.
Ni cha kushangaza sana pale mtu anapoongea sentensi mbili au tatu kwenye hadhara na watu wakimshangilia basi kesho unakuta ameishapewa uongozi au anakuwa mteule wa kata, jimbo kuwa mgombea wao, na kwa vile katika maeneo mengi CCM inakuwa imechokwa, basi hata uwezekano wa kuchaguliwa pia unakuwa ni mkubwa bila kujari kama ni makapi ( empty substance)
Matatizo yaliyopo kwa sasa ndani ya CHADEMA ni matokeo ya kuokoteza watu barabarani na kuwapa uongozi bila hata ya kuwapitisha kwenye tanuru la moto(scan). Kwa maana nyingine, CHADEMA is reaping what they sow.
Kwa wale tunaoangalia kwa mbali, marumbano yanayoondelea hapa jf kati ya hawa wanaojiita viongozi wa CHADEMA (BAVICHA) inatoa picha kama ni viongozi wa aina gani pia tutegemee kwa kipindi kijacho kama hawa ndiyo viongozi wa vijana ndani ya chama.