Henry Matata aibwaga CHADEMA Mahakamani

CDM Hawataki kesi iendelee mahakamani wanataka nn sasa???? Wanajua wata muondoa kwa maandamano????
 
CHADEMA hamnavyo. wao wakiona hawana uwezo wa kushinda kesi wanakimbilia maandamano

Haya majitu yasije yakammwagia tindikali haya, achukue tahadhari nayo sna

yaan we mburula kweli? si hao hao majaji juzi tu mmewashangilia kwa kuwafutia mashtaka ya ugaidi akina Lwakatare na Kileo

sure mkuu. asipomwagiwa tindikali, atawekewa sumu

Haya majitu ndio yalivyo, yaking'atwa yenyewe anajifanya kujuajua

Kemea uhalifu wa kudharau mahakama kwa nguvu zote

hahahaaaa. ni kweli mkuu. au mawakili wao ni mabingwa wa kujitetea tu lakini si wazuri katika kupanga mashtaka

Chadema wanamuonea Matata kwa sababu za kjinga tu!!!

Kwenye madawa ya Kulevya mmebanwa mmeamua kuja kutokea huku, kwenye mambo muhimu yanayoliangamiza Taifa Mnakimbia kwenye issue za Kijinga wa kwanza kuchangia na kuchafua thread kwa Coment zenu za KICHINA.
 
Title ya thread yako na habari yenyewe ukiisoma hata haviendani........
 
majaji wenye kadi za njano na kijani wanalazimisha kesi ili huyu mhuni aendelee ku-buy time hadi 2015..
majambazi ya ccm tutaonana 2015,tutapiga kura za hasira na kuzilinda
You Guys really amaze me. You are so myopic that you cannot see beyond your very noses and worse you are colour blind. What a situation. When the court rule in favour of your cronies u jump in joy and shout out in favour of the judiciary. But when the very same institution rules in favour of your opposition, you cry foul.
GROW UP FELLOWS Life has its up and downs and when you are down you pull up yr socks and continue with the battle.
 

Kamanda wangu ndo kwanza naingia humu ndani nakuona,ok huyu jamaa anayeitwa matata ni mtata sanasifa zake wanazo wavuvi.
 
Kiboko ya Chadema Mwanza, Dr Slaa, alileta ubabe kakutana na za uso.

 
Akishinda kesi Kileo mnasema mahakama imetenda haki, akishinda Matata mnasema CCM imeingilia maamuzi ya mahakama.
 
yaan we mburula kweli? si hao hao majaji juzi tu mmewashangilia kwa kuwafutia mashtaka ya ugaidi akina Lwakatare na Kileo

ile kesi waliaangalia maslahi ya taifa nadhani leo wamekula sembe
 
CDM hawana lolote yaani mambo yakiwa mazuri Kwao ohh haki imetendeka Leo haki haipo Kwao ohh majaji magamba duu akili zenu mnazijua wenyewe.

Mwisho wa haki yako ni mwanzo wa haki ya mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…