Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Wasalaa
chanzo cha taarifa hii ni mm mwenyewe ambaye nilikua mazoezini jioni ya leo
Kwa Wapenzi wa Simba tu
chanzo cha taarifa hii ni mm mwenyewe ambaye nilikua mazoezini jioni ya leo
- Henry Joseph Shindika amerudi Simba A na leo amechezeshwa kikosi cha kwanza kuashiria kuanzishwa kayika mechi ijayo na Ashanti
- Ramadhan Redondo naye ndani ya nyumba na ameanzishwa kikosi cha upande wa pili
- Kocha Abdallah Kibaden Mputa "amesimamia: mazoezi ya leo tofauti na ilivyotaarifiwa na Magazeti kwamba ametalakiwa Simba-ooops na Julio alikuwepo japo hakufundisha/shiriki kabisa
- Andrew Ntalla(kipa aliyesajiliwa nafasi ya Kaseja!!!) hata mazoezi anasotea benchi
- Owino na Chollo hawakufanya mazoezi kabisa
Kwa Wapenzi wa Simba tu