HEMED KIVUYO wa ITV

HEMED KIVUYO wa ITV

hihiiii ataupataje ukuu wa wilaya sasa?
 
Huyu anamuiga Mohamed Ally wa Jicho pevu.
 
Yanga wa kutupwa huyo mgeni kwenye fani ya uandishi wa habari. Mwache apaparike tu njaa inamsumbua..
 
Anaripoti utadhani anataka kukata roho!

Hahahahahahaha ndugu yangu du kweli nimecheka sana kwa comment yako, huwezi amini tokea asubuhi nilikuwa sijacheka hivi eti "Anaripoti utadhani anataka kukata roho"
 
Watoto wa Jwagwani watulivu mithili ya mnyama mwenye shingo ndefu Twiga wa pale mikumi.
Leo wameirarua bila huruma vijana wa mtaa wa msimbazi mbili kwa mtungi.
Vijana wa msimbazi kwa sasa ipo chini ya malkia wa sisimizi kama sio nyuki.
 
mnataka aripoti kwa jinsi yenu Kila mtu ameumbwa kwa namna yake jamani msimulaumu ,je nyie mlipata kumsikia "Ben Kiko" anavyo ripoti
 
lazima alie. alikuwa kampeni meneja wa batilda buriani kwenye kinyanganyiro cha ubunge Arusha mjini 2010.
kila mtu anajua kilichowapata.
 
anaripoti vizuri huyu mwandishi, staili yake inamweka mtazamaji attention.
 
Nachukia sana aina ya Utangazaji ya huyu dogo. Kulia sio kulia, kulalamika sio kulalamika, almradi mbwembwe na kuchamba kwingi.

Sawa na yule George Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli Tanzania na wasomi wa utangazaji. jamani angalieni CITIZEN Kenya mjifunze! Mnakera tafadhali acheni hasa huyo Kivuyo!
 
Acheni wivu bana. Wengu wenu hata kuongea kwavituo hamuwezi.
 
Sawa na yule George Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli Tanzania na wasomi wa utangazaji. jamani angalieni CITIZEN Kenya mjifunze! Mnakera tafadhali acheni hasa huyo Kivuyo!

Ha ha ha ha ha yaani huyu huw ananimaliza kwa cheko aisee....
 
Sawa na yule George Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli Tanzania na wasomi wa utangazaji. jamani angalieni CITIZEN Kenya mjifunze! Mnakera tafadhali acheni hasa huyo Kivuyo!

huyo maratu nikiskia tu anaanza kuripoti nabadili chaneli, simpendi hata kidogo. yan ni ananiboa sana na anavyotangaza utafikiri ana harisha
 
Kwetu kitu cha startimes si kinazingua! Basi hata huyo kivuyo simfehemu kabisa!! Ila sio ishu kila mtu anatafuta namna ya kutokelezea.
 
Back
Top Bottom