Helsb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helsb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by hiljacs, Aug 5, 2011.

 1. h

  hiljacs New Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau naomba msaada hapa Loan Board tangazo lao waliandika kuwa watatoa mikopo hata kwa wanafunzi wa nje ya nchi ili mradi uwe na offer letter leo nimeenda kufuatilia wale mareceptonist wao wanasema hapana ni kwa wanafunzi wa hapa tu kwa nchi zingine lazima uwe na kibali kutoka wizarani jamani huyu receptionist haelewi nini kinaendelea au ni nini kinatokea?
   
 2. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unataka kwenda kusoma wapi wewe?
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  unanikumbusha yaliyotokea ukraine miaka ya 2006
   
 4. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Tujuze mkuu, kulikoni ukraine?
   
Loading...