Mkuu
Mwandikie Invisible E mail / PM kuomba
kubadili username hasa ukimpatia na
Username mpya.
Naamini ukifanya hivyo utasaidiwa maana
ni wasikivu sana ni wengi tu huomba
kubadili na wamefanikiwa vizuri sana
Usisubili kushughulikiwa kwa hii thread
hapa ilipo cha muhimu mwandikie huyo
Mkuu Invisible.