hili tatizo la kujiunga hata kwangu limetokea jana siku nzima sija jiunga na leo najaribu kujiunga wana sema nimesha jiunga, nime badili line kama 3 hivi tatizo ni lilelile tu, nadhani Vodacom watakua na matatizo katika mitambo yao au wako katika harakati ya kufutilia mbali offer hii
mkuu mfano umeunga saa 4 na dk 50 usiku then kesho yake kuanzia saa 4 kamili hadi saa nne na dakika 50 hutaweza kujiunga maana still hela yako haijaisha itabidi usubirie saa 4 na dk 51 ndo uunge.
Cha muhimu kua na mpesa uwe unatumia hadi inaisha then mda ukiisha utakua huwezi ku access net unatoa 200 unaunga tena.
Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu
halafu siku hizi mbona speed ni ndogo sana au tushakuwa wengi manake siku hizi hata ku download file la mb60 inaweza chukua nusu saa nzima au dk45
halafu siku hizi mbona speed ni ndogo sana au tushakuwa wengi manake siku hizi hata ku download file la mb60 inaweza chukua nusu saa nzima au dk45
game ipi hiyo mkuu?Hii kitu imenikuta pabaya sana, nilikua nashusha game la 13GB yaani niko 86% nilikua nasubiri usiku wa jana nimalizie, yaani Vodacom bhana kweli kazi ni kwetu
mkuu mb60 unasubiri usiku si bora ulipie 700 uliishushe fasta kuliko kusubiri vitu vya bure maneno..