HELP: Uchimbaji visima vya kisasa

Suki

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
373
15
Kuna anayejua logistics za uchimbaji, makampuni yanayojishughulisha na uchimbaji au bei za process nzima. Eneo liko approximately 2 hours from DSM.
 
Kuna thread zaidi ya tatu (3) zilishazungumzia uchimbaji wa visima.
Tumia kitufe cha search ili ufaidike na michango pamoja na contacts zilizokwishatolewa.
Kwa bahati mbaya natumia simu, isingekuwa hivyo ningejitahidi kukuwekea links.
 
Thanks. Mbona nizitafute.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom