Kinadharia uliyosema ni kweli, lakini kivitendo siyo sawa. Gear ikiwa kwenye neutral/free accelerator pedal inakuwa laini unapoikanyaga. Ukiweka gear, accelerator pedal inakuwa ngumu kidogo, hivyo inakubidi utumie nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa kwenye free. Kuweza kuelewa utumie nguvu kiasi gani wakati wa acceleration ni function ya time, experience na aina/ukubwa wa gari.