Najua hili swala sio la MMU ila huku ndio kwenye watu wengi, naombeni msaada, ni hivi wazazi wangu waliachana mwaka 2002 ambapo mama alikuwa uk, akaja kutuchukua mie na mdogo wangu wakati huo tulipewa work permit dependants vizas, kaka yangu kwa kuwa umri ulikuwa mkubwa akakataliwa, na bahati mbaya aliingia chuo hapo bongo, akaingia hadi mwaka wa tatu akaacha akisema ni ngumu kwa ujumla maisha yake hapo bongo ni magumu, na sie huku ulaya sio kwamba ni mazuri ila at least tukipata hizo benefits zao siku zinaenda....
Huyu kaka yangu nahisi anaumwa schizoprenia kama mimi kwa sababu ashawahi kuwa mad twice na mama ikabidi aje kumuangalia sasa wapendwa nimemconsult lawyer mmoja wa huku akaniambia ni mpaka niprove hakuna means za kujicare himself in my home country and second he doesnt advice to make application kwa sababu ni complex kujaza na very expensive
Hapa nachowaomba mnisaidie je kuna mtu ashawahi kufanya application? naomba maujuzi, na nyie wana MMU naombeni mauongo ya kujaza manake a strong case
Thanks.