Help please

sirmudy

JF-Expert Member
May 12, 2010
386
119
Jamani naombeni ushauri wenu.., ningependa nipunguze uzito wangu wa mwili uendane na miaka na urefu wangu.JE NIFANYEJE..?
Nina miaka 24, urefu ni 170 cm na kwa sasa nina kilo 84. Nisaidieni kiushauri wa MAZOEZI, VYAKULA GANI NILE ILI niweze kupunguza huu uzito unaotishia afya yangu.., Nawasilisha...!
 
Kweli inapendeza upungue.

Zipo thread nyingi hapa zinazohusiana na tatizo lako, ningeshauri usearch. . .nikipata muda kidogo hata mimi naweza kukuangalizia.
 
Kweli inapendeza upungue.

Zipo thread nyingi hapa zinazohusiana na tatizo lako, ningeshauri usearch. . .nikipata muda kidogo hata mimi naweza kukuangalizia.

Nitashukuru lizzy kwa kunitafutia....., I am on need of necessary measures to overcome this situation
 
Back
Top Bottom