Help please

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
867
219
wakuu naomba msaada jinsi ya kuweka picha itokee kubwa kwenye post
kila picha ninayoweka inakuwa ndogo, picha zote ninazoweka ninatoka kwenye pc yangu
kuna mtu aliniamia copy and paste nimejaribu hiyo lakini naona hakuna kitu, ninatumia attachment au insert image ndio hivyo viduchu vinatokea.
nikiweka picha baada ya muda nakuta mtu ameweza kuikuza, wengine nimewatumia PM kuwauliza wanasema ni copy na paste,
naomba msaada nadhani kuna kitu nina miss out lakni sijakijua ni nini?
 
Fanya hivi:

  1. Bofya ikoni inayosema "Insert Image" wakati wa kupost
  2. Bofya "Basic Uploader" ili ulete picha yako mtaandaoni
  3. Upload picha yako na ikisha uingia katika kijibiox cha kuandika post.
  4. Weka pointer yako juu ya hiyo picha na ubofye kijipenseli kitachotokeza.
  5. katika box litakalotokea bofya "Full size" then Done!
 
shukurani mkuu, ngoja nikajaribu nilikuwa sijapata maelezo kama haya, mimi nadhani yatundikwe sehemu maana ili ni tatizo sugu kwa member hapa ndani
shukurani kaka

Back
Top Bottom