kumbuka na ukiwa una ishi mbali na chuo unakuwa na usalama mdogo pia... na hasa kukiwa na watu wengi mno mlio panga kama peter f' huko mbwanga nk kuna vibaka na kadhalika... hivyo matatizo yapo mkuu chamsingi ni kujiandaa kuyakabili tu na kuyaelewa mapema... wakiwa wazoefu watajua jinsi ya kuishi
waswahili wanasema ujinga ni mara moja tu' wakati wa kwenda... wakati wa kurudi utaifahamu njia