Swala la hostel zipo nyingi sana kikubwa tuu ujiandae kodi coz kuna vyumba vipo vya laki nane na zaidi kwa mwaka ila gharama zinaongezeka zaidi once unapoishi karibu na chuo lakini kuna maeneo kama mwisho wa lami,mbwanga,kkkt,masawe mnadani huko utapata chumba cha bei rahisi lakini katika hostel za chuo ni vurugu sana na usalama mdogo