Unlock simu yako iwe tayari kupokea command kwenye icon yoyote hapo kwenye screen, Kisha weka kidole chako juu mwanzo wa screen, pangusa kushuka chini, utaona ina shuka page nyingine ina vi-icon kadhaa kama Wi-Fi, Bluetooth nk. Sweep kwenda kushoto au kulia kisha kaguse kenye alama ya data transfer (mshale wa juu na chini). Obvious katakuwa active, ukikagusa kanakuwa faint.. Hapo tayari, ukitaka kurudi mwanzo, pangusa ile page kwenda juu ama una-click rewind button.