help please,anaeijua samsung gt s5360 galaxy Y

help please,anaeijua samsung gt s5360 galaxy Y

pjv

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
64
Reaction score
9
wanajamvi msaada ya technical specifications za samsung galaxy gt s5360 y ikiwepo ubora wake,matatizo yake na bei imesimamaje?
Nawasilisha.
 
Ni simu nzuri tu ina speed katika internet,ina screen kubwa kdgo,tatizo ni internal memory ni ndogo.bei sijui kwa sababu nilinunua kwa mtu.
 
Ni simu nzuri tu ina speed katika internet,ina screen kubwa kdgo,tatizo ni internal memory ni ndogo.bei sijui kwa sababu nilinunua kwa mtu.

bei yake inafikia laki2 kama imeshatumika au chini ya hapo?
Thanx 4 info man.
 
Ipo chini ya laki mbili kama ya kwangu nilinunua 120k na dukani nadhan itakuwa chini ya laki mbili..kama 180k
 
Back
Top Bottom