THE RIGHT Member Joined Jan 2, 2012 Posts 57 Reaction score 3 Sep 17, 2015 #1 Nina my computer, it operates normally. Ila when connected to the internet inaguwa nzito sana kwa kila kitu. I need help on how to regulate it into normal operation even if connected to an internet. Natumia window 8, and my computer is compaq
Nina my computer, it operates normally. Ila when connected to the internet inaguwa nzito sana kwa kila kitu. I need help on how to regulate it into normal operation even if connected to an internet. Natumia window 8, and my computer is compaq
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 17, 2015 #2 Bonyeza ctrl+alt+delete itafunguka task manager then click perfomance halafu resource monitor. Then ingia internet halafu angalia kitu gani kinajaa? Kwenye task manager pia angalia ram na cpu zinaliwa vp na apps.
Bonyeza ctrl+alt+delete itafunguka task manager then click perfomance halafu resource monitor. Then ingia internet halafu angalia kitu gani kinajaa? Kwenye task manager pia angalia ram na cpu zinaliwa vp na apps.
THE RIGHT Member Joined Jan 2, 2012 Posts 57 Reaction score 3 Sep 17, 2015 Thread starter #3 Ok let me workon
THE RIGHT Member Joined Jan 2, 2012 Posts 57 Reaction score 3 Sep 17, 2015 Thread starter #4 Inaonesha hivo after following instruction zako. Attachments 1442489011507.jpg 27.1 KB · Views: 59 1442489032990.jpg 73.3 KB · Views: 48
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 17, 2015 #5 THE RIGHT said: Inaonesha hivo after following instruction zako. Click to expand... Ukiangalia kwa makini hapo una matatizo mawili. 1. Ram yako ni ndogo itabidi uiongeze, pc yako ina ram kiasi gani? 2. Tatizo la pili hdd yako ipo slow, hdd za faster zinauzwa bei ghali sana na sababu hio ni laptop ya zamani sikushauri kui upgrade hii, Solution upgrade hio ram kwanza sababu ndio imejaa zaidi then tuone itakuwaje. Bei za ram unapata hadi 20,000 kwa 2gb, ukijumlisha na hio uliyonayo itatosha kabisa
THE RIGHT said: Inaonesha hivo after following instruction zako. Click to expand... Ukiangalia kwa makini hapo una matatizo mawili. 1. Ram yako ni ndogo itabidi uiongeze, pc yako ina ram kiasi gani? 2. Tatizo la pili hdd yako ipo slow, hdd za faster zinauzwa bei ghali sana na sababu hio ni laptop ya zamani sikushauri kui upgrade hii, Solution upgrade hio ram kwanza sababu ndio imejaa zaidi then tuone itakuwaje. Bei za ram unapata hadi 20,000 kwa 2gb, ukijumlisha na hio uliyonayo itatosha kabisa