Help Memory Card katika simu yangu.

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,396
Reaction score
621
It is inserted lakini it is invisible, ilikuwa hivyo some days ago, ikarudi kuwa visible for some hours. Now imepotea, I mean imekuwa invisible for a number of days. How can it be made visible once again if possible? Ina vitu muhimu ambavyo vingine haviwezi kupatikana tena sababu nilivipata mahali ambapo sijui nitarudi lini tena. Msaada tafadhali.
NB: Please quote or mention me, nipate notification. PM your help if you won't mind.

Thanks in advance.
 
Jaribu kuisogezasogeza ikiwa ndani ya slot yake labda kuna vumbi linakata mawasiliano. Halafu utaangalia kama itaonekana. ( si lazima mchangiaji wa kwanza kuquote mtoa mada).
 
Thanks CORAL, I tried what you told me and it worked.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…