Game nzuri sana lkn jiandaye kununua betri mpya ya simu na pia jiandaye kupoteza muda na mawazo mazuri coz hilo game inaweza kukuingia akilini ukawa unaliwaza tu .