si ana refresh mind mkuu, Kwan kazi tunafanya masaa 24/7 hrs au?Unapata wapi mda wa Kucheza game???
Grow your Banks Accounts Young mansi ana refresh mind mkuu, Kwan kazi tunafanya masaa 24/7 hrs au?
Unapata wapi muda wa kucoment hapaUnapata wapi mda wa Kucheza game???
OkUninstall hilo game...then sign up/in kwenye google account then fungua playstore search lidownload tena.
Unapata wapi mda wa Kucheza game???
Game nzuri sana lkn jiandaye kununua betri mpya ya simu na pia jiandaye kupoteza muda na mawazo mazuri coz hilo game inaweza kukuingia akilini ukawa unaliwaza tu .
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Bob mbinguni hakuna PlayStation wala XBOX huko ni kuimba na kusifu tuu..Unapata wapi mda wa Kucheza game???
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us