Pole sana mkuu ,mara nyingi ili tatizo unalisababisha wewe mwenyewe jaribu kuepuka kuangalia picha hizo za xxxxxx,jaribu kufanya shughuli nyingine ili ujikipu busy zaidi hii inaweza kukusaidia,fanya mazoezi mara kwa mara au tafuta vitu vinavyoweza kukupa burudani zaidi ili kuweza kuweka akili yako sawa ,pia jaribu kujichanganya na watu mbalimbali hii itakusaidia kubadilisha mawazo na kuiweka sawa akili yako pindi unapochoka baada ya kufanya kazi, ukishindwa zaidi jaribu kutembelea taasisi za afya ili uweze kupata ushauri wa kitaalamu na tiba zaidi.