no they didint ask me any question zaidi ya ulisoma wapi na mambo kama hayo then wakaniambia leave your appication here ndo hadi kesho hawajaniita wakati i know someone ambae ni mdogo hata kieimu kapeleka juzi na kapata chance tayari.Huko ulikotaka kufanya volunteering, walikuuliza maswali yoyote?
.
thanks very much ndg yanguPole sana ndugu yangu ila usichoke. Good things never come easily. Nchi yetu bado sana kiuchumi na hasa ukizingatia wachache wanakalia ustawi wetu. Jaribu kuwa mbunifu (mjasiliamali). Ila sikukatishi tamaa ni kazi kweli kupata kazi bongo na ndio maana watu wengi sasa wanakimbilia kwenye siasa ili kupata huruma ya mafisadi. Ushauri wa mwisho kama inakuwa ngumu tafuta kazi ya kufundisha, kuna secondary nyingi hazina walimu nina inami utapata ila wakati ukiendelea nayo jiandikishe kwenye professional bodies ufanye mitihani in a long run utapata kazi professional.
i am doing that by the moment but you can also help me to have onePole sana ndugu yangu ila usichoke. Good things never come easily. Nchi yetu bado sana kiuchumi na hasa ukizingatia wachache wanakalia ustawi wetu. Jaribu kuwa mbunifu (mjasiliamali). Ila sikukatishi tamaa ni kazi kweli kupata kazi bongo na ndio maana watu wengi sasa wanakimbilia kwenye siasa ili kupata huruma ya mafisadi. Ushauri wa mwisho kama inakuwa ngumu tafuta kazi ya kufundisha, kuna secondary nyingi hazina walimu nina inami utapata ila wakati ukiendelea nayo jiandikishe kwenye professional bodies ufanye mitihani in a long run utapata kazi professional.
i appriciate your advice i will do the same brotherI feel so sorry to my brother. This too happened to me, I tried several times to apply for jobs, but, I end up with frustration. Many employers told me that I don't have adequate experience.
I advised you to join kaziafrica, this is a kenyan website with the objective of helping each other to get job. Even if you're not a kenyan still you could apply and get it. Please don't get tired before you achieve your goal.
Babatina ume apply kazi hii?babatina kuna kazi nimeona VOA angalia chini hapo
International Broadcaster (Radio)(Swahili)
SALARY RANGE: 69,764.00 - 90,698.00 USD per year OPEN PERIOD: Wednesday, September 10, 2008
to Wednesday, September 24, 2008
SERIES & GRADE: GS-1001-12 POSITION INFORMATION: Full-Time Permanent
DUTY LOCATIONS: 2 vacancies - Washington, DC
WHO MAY BE CONSIDERED:
Applications will be accepted from all qualified applicants.
Non US citizens may be considered for this position in the absence of equally or better qualified US citizens. If a non-US citizen is selected, he/she will be placed in the Excepted Service.
JOB SUMMARY:
This position is located at the Voice of America (VOA) and is responsible for conceiving, planning and writing news-related stories for use in radio in the Swahili Service.
THIS IS A BARGAINING UNIT POSITION
Introduction to the Agency: The Voice of America is a component of the Broadcasting Board of Governors. The VOA broadcasts news and information to millions throughout the world in more than 40 languages, via radio, television and the Internet. Our divers, multicultural and dedicated professionals staff correspondent bureaus, transmission stations and marketing offices around the world in addition to our main offices in Washington, DC.
SOMA LINK HII ZAIDI
**************************************************************************
Jitahidi uapply faster nafasi hii wakenya wasije kuchangamkia.......kama ukitaka msaada wowote jus PM me nitakusaidia....MIND YOU TAREHE YA MWISHO NI 24 SEPT