Help: Kuunganisha simu kwenye pc kwa usb

Help: Kuunganisha simu kwenye pc kwa usb

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,118
Reaction score
5,369
Salamu kwenu.
Nimeshindwa ku-connect simu(smartphone Android) kwenye Laptop ili ku-transfer files. Kila nikijaribu haisomi badala yake inaishia kuingiza charge tu.
Naomba mnisaidie nini tatizo maana siku za nyuma ilikuwa ina-connect bila tatizo.
 
jaribu kugoogle za driver husika.

pia angalia kama imekuwa connected kama mtp, ukiconect tu simu na laptop kwenye notification itaandika, ikiwa sio mtp badili iwe mtp

kama ukiconect haionyeshi kitu make sure umeeka driver.

pia hujawah ipeleka kwa fundi?
 
Hiyo cable itakuwa imekufa,mara nyingi cable ikianza kufa au ikiwa sio original ndio simu inaleta style hzo,mimi pia nishawahi kutokewa na suala hlo mara kadhaa,nikibadilisha cable inakubali
 
Back
Top Bottom