Help: ISO file compression

jumaa24

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
97
Reaction score
13
guys nimekutana na iso file moja kwa location mbili tofauti! location ya kwanza ina 1.9GB na location ya pili ina 2.5GB! Inawezekana ku compress iso? coz mawazo yangu nafikiri hii ya kwanza imefanyiwa compression. Coz both of them are the same.
 
Hizo ISO file ni za kitu kimoja?? kuna uwezekano moja kati ya hizo imefanyiwa repark
 
Ndi mkuu ni kitu kimoja!! Software gani ambayo unaweza fanyia repack iso?

repark wanafanya watu ambapo wana reduce unnecessary files au wanaongeza cracks mostly hii inatokea kwenye games mfano game ya Need For Speed Most Wanted 2012 Repark ya SKIDROW ina 5.3GB na repark ya RG Mechanics ina 2.5GB.

hata wewe unaweza fanya hivi maana kutengeneza ISO file sio big deal. mfano una ISO file ya Game ama Software flani mfano AutoCAD yenye 3GB iliyo combine 2 installations files AutoDESK na AutoCAD Indesign unaweza toa installation ya AutoCAD indesign ukabakiza AutoDESK pekeake hapo utaona kua new ISO imepungua volume
 
hamna cha kuongeza hapo, you've spoken like a true expert. nakumbuka enzi zile za NFS UG2, kulikuwa na repack moja ya 700mb. walikuwa wametoa video clips zilizopo ndani, vinyls & decals na sound files. iso kwa kifupi ni uncompressed images, so yeah, huwezi compress labda utoe tu contents ili upunguze size kama [MENTION=83762]NingaR[/MENTION] alivyosema
 
mkuu hata hujahangaika kugoogle mi nimegoogle tu zimekuja result kibao try hii Using MagicISO to compress ISO image.
mkuu, ukicompress ISO haitakuwa ISO tena, itakuwa a compressed image ambayo sio ISO tena. sababu kubwa ya ISO kuwa uncompressed ni kwamba autorun haiwezi fanya ikiwa compressed (ndo maana antivirus nyingi huwa zinacompress infected files)
 
Kwa hiyo mkuu yule anayecopy disc kwa ku opt img format na mimi nika opt iso tunakua na tofauti gani hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…