Msaada tutani my lovely HDD

Msaada tutani my lovely HDD

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,888
Reaction score
14,543
Wakuu asalaam
Nina external hard disk yangu size yake ni 1TB aina ni Transcend na ndani ni samsung hdd....tatizo langu ni kuwa leo nimeamka haisomi
Mpaka sasa diagnosis nilizoifanyia ni....
1. Nimebadili device ya kusomea hdd nmejaribu kwenye tv hollaaa kwenye subwoffwe holla kwenye laptop holla na sasa npo kwenye desktop holla..
2. Nikabadili usb cable nayo hola
3. Nikabadili case yake napo hola...

Hapa nimerun out of option na ni ya muhimu kweli imenivuruga akili....
Ukiichomeka inaonyesha taa inawaka na inazunguka hii ina maana case ni nzima...
Je mwenye msaada zaidi anaweza nisaidia na hili tatzo...
Cc. mwlm C.R.T na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Haisomi ukimaanisha hata icon yake kushow up on ur pc window au inaonyesha icon ila haifunguki/haifungui files?....hebu tuanzie hapa alafu na wengine wenye maujanja zaidi watokelezee!
 
Haisomi ukimaanisha hata icon yake kushow up on ur pc window au inaonyesha icon ila haifunguki/haifungui files?....hebu tuanzie hapa alafu na wengine wenye maujanja zaidi watokelezee!

Haisomi hata icon haionekani kwenye pc yani pc hata haishtuki kama umechomeka kitu....
 
Back
Top Bottom