Help in ROOTING Huawei Ascend Y200

Help in ROOTING Huawei Ascend Y200

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
HUAWEI-Ascend-Y200.jpg

wanajamvi anayejua jinsi ya kuroot aina hii ya simu anisaidie steps tafadhali :yo:
 
Research and use..z4root...ina android version gani?
 
mkuu mi na mshikaji wangu tumeweka recovery kwenye y200 yake ila tukijaribu kuroot inakuwa mizengwe. naendelea na hii project so nikipata breakthrough nitakujulisha, naomba na wewe ukiweza u do the same por moi
 
How did you do recovery? Na ukisema recovery una maana gani ?Ume recover backed up files na kuziweka? au umereinstall android...?
Poa ...nta fuatilia 🙂
 
Guys nliona nisiwe mvivu....nimegoogle sana and nimepata solution...tayari nishairoot pamoja na ku-upgrade Android Version to ICS 4.0.3 kutoka 2.3.6 Gingerbread now ipo cool mbaya....there are procedures to be followed, hizo Z4ROOT na One Click root huwa zinazngu
 
Aisee tujuze nasi tujifunze ...
umetumia nini kuir00t.....
andika ka summary ..tafadhali
sisi.... old sch00l ......h4rdware h4ck3rsz
🙂
 
Aisee tujuze nasi tujifunze ...
umetumia nini kuir00t.....
andika ka summary ..tafadhali
sisi.... old sch00l ......h4rdware h4ck3rsz
🙂

kaka fuatisha process kutoka kwenye hii thread, https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/367740-je-ungependa-kuroot-huawei-ascend-y200-yako-ili-iwe-bora-zaidi-new-post.html
 
Guys nliona nisiwe mvivu....nimegoogle sana and nimepata solution...tayari nishairoot pamoja na ku-upgrade Android Version to ICS 4.0.3 kutoka 2.3.6 Gingerbread now ipo cool mbaya....there are procedures to be followed, hizo Z4ROOT na One Click root huwa zinazngu

imetumia njia gani? naomba unijulishe
 
Back
Top Bottom