mi hapo hapotu:A S 12:Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine
naguswa moyoni hata mara 10 na watu 10 tofauti kwa siku, kutembelewa na watu kama 7 katika
ubongo wangu ama kama 13 rohoni kwangu.
Sasa ya leo kali, nina siku ya 4 namuwaza huyu mmoja tu! Sipendi na wala sijawahi maishani mwangu
kuwaza mtu mmoja, sioni mantiki na naona nikiwaza mmoja wengine nitawapoteza sababu huwa nakuwa
nao na kuwatafuta sababu nao nawawaza. Sasa amekuja huyu kawa king'ang'anizi ndani ya moyo wangu,
akiwa kama ganda kwenye ubongo wangu na kajenga kivuli cha muonekano wake machoni pangu.
Kila saa ni yeye hapishi wengine. Ananiboa na ananiharibia mood maeneo mengine ya mwili.
Na kubwa kuliko ananiharibia mipango yangu ya kuwa mama wa watoto mapacha.
Uzuri yupo hapa hapa jf kwahio msg sent! Kaka tafadhali nikome!
Kaunga my sweetest I need you now more than ever! wea ar u my love?
Nisaidieni wapendwa katika bwana, ni ugonjwa gani huu? mwenzenu Ero haujawahi nipata!
Dr. Mzizi Mkavu na wengineo msaada plz. Am I sick? Na kama naumwa dawa yake nini?
No mwaaaaah. I think am Sick.:A S cry:
huyo ni yule anayekukunaga au ni stranger?
Erotica hauishi vituko! Kama yuko hapa JF jaribu kuongea nae, maybe you will stop thinking about him. careful, don't fall...
basi mpe za uso, ila take care asijepata mtikisiko wa ubongo! coz amependa asipopendwa! have u ever fallen kwake?? kiukweli or its just matamanio?Nimeshamuua. Imebaki tu maiti hapa rohoni. nashindwa kutoa hiyo maiti.
Kua utayaona. Never say never.kufall ndio kufanyaje RussianRoulette? siwezi kuongea nae, kanisababishia ugonjwa nimfuate? No way!
Moja kati ya mambo ambayo nitakazania yaingie kwenye katiba mpya ni kuhalalisha TOHARA YA WANAWAKE. Jamani eeh, hako kakidude nako kakiwa karefu hujisugua kwenye mapaja na matokeo yake ndio mada za namna hii ambazo MMP nikitoa maoni yangu tu, one of the female mods ananiPM kwa mikwara.
Dawa ya tatizo lako ni kurudia mila
Erotica binafsi leo nimekuwaza sana nilikaa mahali nikakumbuka post zako nikajikuta nasema hivi erotica mbona tangu jf irudi hewani simuoni? nikaongezea labda katingwa na majukumu lol! kumbe nilikuwa nakuita shostito wangu.
turudi kwenye topic, huyu aliyeubeba moyo wako kwa kias kikubwa kwanza kabisa anakitu tofauti sana na wengine wote, ambacho wewe @ first site hujakiona. Pia kuna kitu ambacho huwa kinakuwaga kwa yule wakwako kiukweli ambacho that thing can speak inside your heart.
sasa fanya hivi, kwanza muweke umlinganishe na wengine 10 ndani ya akili yako, ukiona haondoki jua huyo ni wako ila akiondoka jua upendeleo ulikudanganya. Tena wakati unamlinganisha yeye mweke akilini na 5 hivi halafu mbadilishie chumba mwingize moyoni na wengine 7 uone. this is the only medication